Lulu afunguka kuhusu mahusiano yake na ujauzito wake na mipango yake ya kuolewa

By    


Miezi michache iliyopita mwanaBongomovie Lulu aliamua kumtangaza mpenzi wake hadharani kua ni Majay, mkurugenzi wa Efm. Na maswali ya mashabiki wengi yakawa ni kweli watadumu au ndo atakua kafika na kuamua kuolewa????

Lulu aliamua kujibu maswali hayo pale alipoamua kujibu maswali aliyokua akiulizwa na mashabiki wake kwa njia ya video. Katika video hiyo Lulu aliamua kufunguka mambo mengi sana ikiwemo ufafanuzi wa picha aliyopost ikionyesha kua ana mimba, kama ataolewa au la, na mengine mengi. Unaweza mskiza katika video hii hapa chini ....