Maelfu wajitokeza safari ya mwisho ya Msanii wa vichekesho Kinyambe

By    

Mamia ya wakazi wa mjini Mbeya wajitokeza kuuaga mwili wa Msanii wa komedy, Marehemu Kinyambe amezikwa leo nyumbani kwao eneo la Makondeko,kata ya Igawilo,Uyole.
Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi..Amein.