Nusu ya jibu ya swali hilo limepatikana, ukweli ni kwamba Idris anamiliki nyumba ya ghorofa ya kifahari kabisa na kwa jinsi inavyoonekana bei yake haipungui chini ya milioni 200. Hii inatokana na inavyoonekana na eneo linalozunguka nyumba hiyo kama inavyoonekana katika video hii hapa chini iliyowekwa na mtandao wa Bongoclan ambayo inamuonesha mrembo mmoja akizunguka zunguka katika mjendo huo.