WIMBO MPYA;NUHU MZIWANDA FT ALIKIBA-JIKESHUPA

Msanii Nuh Mzinda ameachia wimbo mpya unaitwa “Jike Shupa”, amemshirikisha Ali Kiba, Producer Mr T Touch.Wimbo huo ambao wengi wameona kama ni jibu baada ya mahusiano yake na mwanamuziki Shilole kuvunjika umeanza kuwa gumzo kwa wadau wengi wa muziki ndani na nje ya nchi.
Usikilize na kuudownload hapo chini