Msanii kutoka Nigeria Seyi Shay ametoa video yake mpya ya wimbo “Pack
and Go” amemshirikisha Olamide wimbo huu upo katika album ya “Seyi or
Shay”, Video imetayarishwa mjini Lagos na Meji Alabi wa J Films ambaye ndiye aliyeitayarisha video ya wimbo wa chekecha cheketua ya Alikiba .