VIDEO MPYA;SAUTI SOL FT MI-CASA -TULALE FOFOFO


Baada ya kutoa ile kolabo yao na Alikiba kutoka Tanzania wasanii Saut Soul kutoka Kenya wameachia video mpya ambayo  wamewashirikisha Mi- Casa kutoka South Afrika wimbo unaitwa “Tulale fofofo”
Itazame hapa