Hii
ni picha ambayo kwa siku ya leo imemake headlines sana katika mtandao
wa kijamii wa facebook kutokana na TBT yake kuwa ya muhimu sana na ya
fundisho kubwa sana kwa vijana wa kitanzania kwa kuangalia hatua ambazo
watu hao katika picha wamepitia na mahali walipo kwa sasa.