Ilisemekana kuwa Davido na Diamond wana Beef, Lakini Diamond na Davido bado wanazidi kudhihirisha kuwa hakuna Beef kati yao!
Davido na Diamond Platnumz wamekutana nchini south Afrika ambapo wako
katika maandalizi ya Tuzo za MTV ambazo zitafanyika Jumamosi hii nchini
South Afrika.