BAADA YA MWANAYUMBA, CHEGE CHIGUNDA AJA NA NGOMA MPYA, USWAZI TAKE AWAY FT. MALAIKA

By    

Msanii Chegge wa TMK Wanaume Family akiwa na msichana Malaika aliyeshirikiana naye katika ngoma yake mpya.Wimbo huo mpya unaoenda kwa jina la 'Uswazi Takeway' umetoka  nakusema kuwa kitu alichokiimba huko ndani ni stori ambayo imeshamtokea karibu kila mtu.