MTU MMOJA NCHINI NIGERIA ATENGENEZA BIDHAA NA KUTUMIA JINA LA P SQUARE BILA WAO KUWA NA HABARI

By    


Na hichi ndicho walichokiandika katika akaunti yao ya twitter kukanusha bidhaa hiyo kuwa si ya kwao na wala hawaijui, na isitoshe wao hawajawekeza nchini humo katika kitu kama hicho. This is what they wrote"Heehe are we not in Nigeria again? P square popcorn mehn ^_"