AUDIO: KIGOMA ALL STARS - NYUMBANI

By    

Kwa wale wadau wa LEKA DUTIGITE hii inawahusu. Ni ngoma nyingine kali kutoka kwa KIGOMA ALL STARS inayokwenda kwa jina la NYUMBANI, ambapo ndani yake kukiwa na wasanii wakali kama Diamond Platinumz, Linex, Baba levo, Mwasiti, Queen Darleen na wengine kibao kama Rachel na Muki kutoka THT. Usisubiri kusimuliwa isikiliza sasa hapa upate mmdundo halisia.