NGOMA AMBAYO MSANII STAMINA AMEITOA SIKU YA B'DAY YAKE

By    
Msanii Stamina kutoka pande za Moro amedondosha ngoma yake ambayo anasema ni maalum kwaajili ya mashabiki wa Morogoro ambako ndiko alikotokea.Stamina Ametumia beat ya Mwanza Mwanza ya Fid Q,
SIKILIZA ngoma halafu mwenyewe utaona kama kapita kwenye hiyo beat ya Fid poa au niaje