Kupitia ukurasa wake wa Instagram Quick Rocka amekuwa akiweka vipande vya mistari inayowezekana kuwa ni kutoka katika wimbo wake mpya ambao unatarajia kutoka hivi karibuni akiwashirikisha wakali wa chorus G-Nako Warawara na Jux. Wimbo huo utazinduliwa siku ya jumamosi pale Azura Beach ikifuatiwa na bonge la party kutoka kwa wakali hao. Hapo chini nimekuwekea baadhi tu ya vipande vya post za QR kutoka IG