Mwanamuziki kutoka Tip Top Connection Madee kaileta ngoma nyingine kali iliyotayarishwa kwa ushirikiano wa maproducer kutoka Nigeria na Tanzania ambapo Producer Tuddy Tomas kaiwakilisha Tanzania kwenye utayarishaji huku Tspice akiiwakilisha Nigeria idownload hapo chini
http://www.hulkshare.com/madee-migulu-pande