WIMBO MPYA;BARNABA-WANIFAA

Miezi michache baada ya kuachia kolabo yake na Josee Chamilion mwanamuziki Barnaba ameachia wimbo mwingine uitwao wanifaa,mwandaaji wa wimbo huu ni  Producer Ema The Boy.
Usikilize na kuudownload hapo chini;