La Casa De Papel (Money Heist Season 4) yangojewa kwa hamu leo Aprili 3, 2020

Kwa wale wapenzi wa series ya Money Heist, leo ndio siku itaonyeshwa msimu wake wa nne. Je, ni nini kitatokea?

Wengi tumekuwa na maswali mengi kuhusu hatma ya afya ya Nairobi, Je amenusurika kifo baada ya kuwekewa mtego na inspekta wa polisi hali iliyopelekea kupigwa risasi?
Vipi kuhusu hatma ya Inspekta Murilo baada ya kukamatwa na kutakiwa kuchagua jela miaka 30 au familia yake, ili amuweke wazi Professor ambaye ndio mastermind wa mchezo?
Wakati hayo yakiendelea Professor naye yuko kwenye wakati mgumu huku ndani ya mjengo unazuka ugomvi mkubwa na kuwapa mwanya baadhi ya hostages kuanza kuharibu mikakati ya Professor.

Stay tuned hapa hapa kupata highlights zote na pia kwa kufuatilia Official social media accounts za La Casa De Papel

La Casa de Papel on Instagram: https://www.instagram.com/lacasadepapel/

La Casa de Papel on Facebook: https://www.facebook.com/lacasadepape...
La Casa de Papel on Twitter: https://twitter.com/lacasadepapel
Watch La Casa de Papel on Netflix: http://netflix.com/lacasadepapel"