Diamond na Zarry wanunua mjengo mpya kwa Madiba

By    
Kupitia ukurasa wake wa facebook Mondi ameweka picha za mjengo huo huku akiandika maneno yanayoonyesha furaha yake juu ya maisha yao ndani ya mjengo huo nchini Afrika ya kusini.

Hichi ndicho alichoandika Simba "They are busy bragging them selves that they are Rich while their Kids staying in the Renting House... and today a person they are daily abuse and saying that he's broke Bought a House, so that their Kids can have a better life as their dad always wish on Social Media..... Happy Birthday Mama tee i hope you like our new South African House....Can't wait for your Big weekend in Zanzibar tomorrow....I love you So much mama tee, we ndio Salome wa Moyo wangu pekee @zarithebosslady 😙🌷🎉🎂🎂🎉🌷 (Wanakazana kujisifu Matajiri Ilhali watoto zao wanaishi kwenye Nyumba zakupanga... halaf leo yuleyule wanaemtukana kutwa kwenye Mitandao kuwa Masikini, kajawa na shida, Kanunua nyumba kulekule kwao ili watoto wao waishi Maisha bora kama wanayoyatamani... Heri ya siku ya Kuzaliwa Mama tee wangu.... Nakupenda sana na unalifahamu hilo...natumai umeipenda Nyumba yetu hii mpya South Africa... nasubiria kwa hamu kusheherekea nawe siku yako hii kubwa kesho zanzibar"