SHILOLE AZUNGUMZIA SUALA LA YEYE NA NUHU KUACHANA NA MSIMAMO WAKE KWA SASA

By    
Shilole amesema kuwa Nuh hamwamini kabisaa ana wivu kupitiliza ndio chanzo cha wao kuachana.

"Mimi sina makosa, niko tayari kurudiana nae kama atalijua kosa lake. Kwasasa niko Single nakaribisha maombi”.