Kokomaster
amesema kuwa toka walipokutana na Diamond walizungumza na kukubaliana
kufanya collabo lakini amekuwa akimpiga chenga mpaka sasa.
Star
huyo ambaye aliibuka na tuzo ya ‘MAMA Evolution’ katika MTV MAMA 2015,
ameongeza kuwa kabla mwaka huu haujaisha anaamini collabo hiyo itakuwa
tayari imefanyika.
Diamond ametoa sababu za kuchelewa kufanya collabo na D’Banj.
“Tulikutana
kule kwenye Do Agric tukafanya Cocoa na Chocolate, tukatakiwa kufanya
nyimbo ya mimi na yeye lakini nikaogopa ukianza na msanii mkubwa sana
itakuwa kurudi tena itakuwa tabu lazima uanze kwa
ngazi ili kesho na kesho kutwa ukitoa nyimbo uonekane unazidi kupanda,
sio unafanya nyimbo na mkubwa halafu kesho unashuka, nafikiri ndio ikawa
sababu pia nyimbo yangu ya kwanza sikuweza kufanya na yeye ya kwanza