SIKU IZI MAPENZI PESA TU, KAMA UNAHISI NI UFUNDI BASI PELEKA VETA - NAYTRUEBOY

By    
Ni ngoma ambayo imeshaanza ku-make headlines kabla haijatoka labda ni kutokana na maneno ambayo msanii huyo amekua akiyapost kupitia mitandao ya kijamii au promo ambayo ngoma hiyo imekuwa ikipewa na Mrembo Shamsa Ford ambaye inasemekana kwa sasa na Naytruboy ni wapenzi.
 Pia Diamond Platnumz kapost kitu ambacho moja kwa moja kinaonekana kuilenga nyimbo hiyo 
"Kha! Huyu nae anakuwaga Boya sometimes... we akili yako unaona kila kitu kinataka pesa tu.. hayo mambo ndio yalokufanya kile kidem chako cha Mwanza kikuchune halaf mwisho wa siku watu wamekipa viuno ipaswavyo, kiulainiiii wamejichkulia, Unabaki kutwa kuhaha na Mtoto... Mwanamke anatakiwa Ufundi, Madoio, Manjonjo kwa bed UMENISKIA @naytrueboy ??? ‪#‎MapenziAuPesa‬"

Kwa mtazamo wa timu ya Sikiliza Mdundo na tathmini ndogo tuliyoifanya kufuatia ujio wa ngoma hiyo yawezekana ikateka sana mashabiki na kuleta misemo mingi kama ilivyokuwa kwa ile ngoma ya STAMINA + FID Q - WAZO LA LEO.
Lets stay tuned tuone ujio huo kama utakuwa na mshindo au ni nguvu ya soda.