Ni ujio mwingine wa G - Nako ama G- Warawara the Kankara, the Finest kutoka kipande cha A Town, R-Chuga kijana mkali wa Bongo ambaye kwa sasa analiwakilisha vyema sana kundi la weusi ameachia kichupa chake kinachokwenda kwa jina la Sichezi mbali. Kisikilize kiko poa sana.