DIAMOND PLATNUMZ HAKAMATIKI, UMATI MKUBWA NA MSULULU WA BODABODA WAENDA KUMLAKI UWANJA WA NDEGE

By    

Vijana wa Bodaboda ambao kwa hiari yao wenyewe na mapenzi mema kwa toto la kimanyema Thhe prezdaa bn laden wamejitokeza kumlaki kijana yao mpendwa Chibu ambaye atakuwa jijini Mwanza kwa ajili ya kuanusha bongge la shoo iliyopewa jina la "Jembeka festiva"