DIVA AJA JUU BAADA YA VIDEO YA ALI KIBA AKIMPIGA BUSU JUKWAANI KUVUJA NA KUSEMA SIO TYPE YAKE

By    
Mtangazaji wa Clouds Media Group anayepaza sauti yake kwenye kipindi cha Ala za Roho amekuja juu na kudai Ali Kiba Sio type ya mwanaume anayemuhitaji. Hii imetokea baada ya video ya Ali Kiba kuvuja akimla denda Diva. Msikilize hapo chini akiongelea suala hilo.

Credits: Kishymba