DIAMOND PLATNUMZ KUPOKEA TUNZO YA MUUNGANO WA TANZANIA NA ZANZIBAR, BI KIDUDE NAYE ANGÁRA

By    

Baada ya kupata tununzo hizo hichi ndicho Raisi wa Wasafi alichokiposti kupitia akaunti yake ya facebook
"Jus a minute ago as I was Announced and Honored a Book Trophy of 50 years of the United Republic of Tanzania as an ICON of the NATION. thank you so much my Country for appreciating my Contribution.

Muda Mchache uliopita nlipotangazwa na kupokea tunzo ya kitabu Cha miaka 50 ya Muungano wa Tanzania kama ICON wa Taifa...Shukran sana kwa kutambua na kuthamini mchango wangu...
na hawa ndio ma ICON wengine wa Taifa Walio andikwa na kutajwa:
-Maria Nyerere
-Asha Rose Migiro
-Bi kidude
-Filbert Bayi
-Adam Shafi -Dr. Salim Ahmed Salim
-Getrude Mongela
-Javed jafferji
-Steven Kanumba
-John da silva
-Happiness Magese
-Juma Aley
-Proffessor issa shivji
-Proffessor Haroub Osman
-Haji Gora"