New Audio: Young Killer ft. Belle 9 & Fid Q - 13

By    

Watayarishaji wanne pamoja ndani ya Bongo Records wamesuka bonge la ngoma la Young Killer akiwa na Belle 9 na Fid Q.

Ngoma inaitwa 13, imesimamiwa na P Funk Majani, Lollipop, Amiga Tyga na Palla.

Ni April 13 ya Young Killer na Agosti 13 ya Fid Q ikafanya kukamilika kwa ngoma hii.