STAY TUNED KWAAJILI YA KUPANDA NA KUSHUKA NIKKI MBISHI, SONGA, ONE THE INCREDIBLE FT LADY JAYDEE

By    
Baada ya kufanya wimbo wa Jide Joto Hasira Remix sasa Tamaduni Music ikiwakilishwa na Nikki Mbishi, Songa na One wameamua kuja na kitu kipya ambacho wamemshirikisha Komando Jide ambacho kinatarajiwa kuachiwa hivi karibuni. Jina la wimbo huo ni KUPANDA NA KUSHUKA umefanywa chini ya studio ya Combination Sound mikono ya Man Water, ila bado haijawekwa wazi ni nini kilichoimbwa humo ndani nikimaanisha ujumbe uliomo ndani ya track hiyo.
Stay tuned kwa kutembelea blogu hili ili uweze upata wimbo huo mapema sana ukitoka.