Mkali Izzo busines anayefanya vyema katika mziki wa Bongofleva aaamua kula sikukuu yake ya pasaka na watu wake wa Green city. Mkali huyo ambaye kwa sasa anatamba na ngoma yake ya Tumoghele na brand ya T-shirrts za TUMOGHELE 255 ambazo zimekamata sana soko la bongo ameachia habari hiyo katika ukurasa wake wa facebook. Sow hiyo itabamba pande za Club Maisha siku ya tarehe 20 mwez wa nne jumapili ya pasaka kwa uchakavu wa 7000 tu kabla ya show na mlangoni basi mtonyo unaongezeka na kuwa kitu kizima, 10000.
MBEYA CITY.....JUMAPILI HII YA PASAKA TAREHE 20/04/2014....NITAKUWEPO PALE NEW MAISHA CLUB....HOME SWEET HOME EASTER SEASON....KARIBUNI TUFURAHI PAMOJA !!! #bless
SI SHOO YA KUKOSA UONE WAKUKAYA
WANAVYOFANYA YAO