LYRICS: MARLAW - KIRUNGU

By    

Ulisema nikulishe una njaa
Ukasema nikuogeshe umeng'aa
Ulisema nikuvishe umevaa
Nikafanya mambo mengi kukufaa
Natambua unaona umeshakua
Na unajitambua naomba tulia
Funguo zote unazijua
Na zinapofungua ndo maana unasumbua
Kirungu we hutulii hutulii
Kirungu we hutulii hutulii
 
Chorus
Kirungu wacha matata
Una nini kirungu
Kirungu wacha matata eh eh
Kirungu wacha matata
Una nini kirungu ooh
Kirungu wacha matata eh eh
 
Verse 2
Unadhani sikutakii manufaa
Na we ni mwanangu sikukatii tamaa
I need you be careful my son
Now let me know if I can trust your mind
Natambua unaona umeshakua
Na unajitambua naomba tulia
Funguo zote unazijua
Na zinapofungua ndo maana unasumbua
Kirungu we hutulii hutulii
Kirungu we hutulii hutulii
 
Chorus
Kirungu wacha matata
Una nini kitungu oh
Kirungu wacha matata eh eh
Kirungu wacha matata
Una nini kirungu oh
Kiirungu wacha matata eh eh
Kirungu owoo
Kirungu oh eh eh
Kirungu owoo
Kirungu oh eh eh

Ni dada mmoja
Nilipokutuma umsalimie
Haki! Ndio nampenda
Ila kakuona wewe ndio mie Aii
Dada mmoja
Ndio amenifanya mi nikwambie
Aii! Ndio nampenda
Ila kakuona wewe ndio mie Aii
Ulimuona mcheshi na mvuto
Ndio huyo huyo (Ndio huyo huyoo)
Ulimuona mcheshi na mrembo
Ndio huyo huyo (Ndio huyo huyo)
Unampenda ndo maana naona anakupenda sana
Unamuwaza maneno sina mmh
Unampenda ndo maana naona anakupenda sana
Unamuwaza maneno sina mmh
Aaaaa aha ahaa eeiiiieeh
 
Chorus
Kirungu wacha matata
Una nini kirungu oh
Kirungu wacha matata eh eh eh
Kirungu wacha matata
Una nini kirungu oh
Kirungu wacha matata eh eh eh
Kirungu owoo
Kirungu oh eh eh
Kirungu owoo
Kirungu oh eh eh
Ouuuooo oh oh x4 till end
 
Marlaw na Fundi Samwel