JUSTIN BEIBER AJICHORA TATOO YA JICHO LA MAMA YAKE

By    

Siku ya jana tarehe 07, July, Justin Beiber aliweka picha kwenye Instagram ambayo ilionyesha tatoo yenye jicho na kope kwa upande wa ndani wa mkono wake. Kutokana na vyanzo mbalimbali inasemekana kwamba tatoo hiyo ni picha ya jicho la mama yake.