WIZKID KUNG'ARISHA KAVA LA Y MAGAZINE

By    
Y! Magazine Issue 11 Coverposter wiz
Kava hiyo iliyoandikwa "No kidding", Wizkid kazungumzia kuhusu historia yake na hasa kimuziki tangu alipoanza na hadi alipofikia pamoja na mafanikio aliyoyapata katika muziki. Pia kazungumzia chanzo cha sauti yake na watu waliomfanya kuwa Wizkid wa sasa, pamoja na meneja wake wa zamani Osagie Osarenkhoe na Empire Mates Entertainment ambayo bosi wake ni mtu mzima Banky W, kama unaufahamu wimbo wa Sugar(money, love & sex) alioimba na wasanii kutoka Afrika mashariki.