RAPA LIL WAYNE ATEMBELEWA HOSPITALI NA BIRDMAN, DRAKE NA NICK MINAJ

By    
Lil Wayne Gets Hospital Visits From Nicki Minaj, Drake, Birdman
Ni kutokana na kuzorota kwa afya yake siku za hivi karibuni na kufanya rapa huyo maarufu duniani kutoka jiji la L.A (Los Angels) kupelekwa hospitali ambako kwa taarifa kutoka kwa mlezi wa Cash Money Birdman ambaye anapenda kumwita Wayne mwanae, ametweet katika akaunti yake kuwa "My son is feelin Good. Will be home real soon,"