VIDEO: JOSE CHAMELIONE - BADILISHA

By    
Hii baada ya ile iliyokonga yonyo za mashabiki wengi katika muziki wa Afrika Mashariki iliyokwenda kwa jina la 'VALUVALU', sasa aja kiaina yake na BADILISHA ambayo kiukweli inaonyesha jamaa yuko fiti katika miondoka ya dizaini yake. Icheki hapa, Sikiliza Mdundo.