NEW VIDEO: VUMILIA - DUSHE DUSHE

By    
Kama umekuwa ni mfuatiliaji mzuri wa Bongo flavour, sidhani kama utakuwa hujakutana na nyimbo kama UTANIKUMBUKA, TATIZO UMASIKINI na nyingine nyingi klutoka kwa mwanadada vumilia. Basi kama hukupata kumjua kwa nyimbo hizo basi hii ni fursa nzuri kwako ya kumjua vizuri mdada huyu na kipaji chake. NI ZAO LA THT, but kwa sasa hayupo THT.