LADDY GAGA KUSHINDWA KUFANYA ZIARA YAKE CHICAGO, DETROIT, ONTARIO NA HAMILTON KUTOKANA NA MAUMIVU MAKALI YA VIUNGO YANAYOMSUMBUA

By    

—Photo (File) Reuters
Habari zisizo nzuri kwa mashabiki wa msanii maarufu ulimwenguni, Laddy Gagga juu ya afya yake iliyopelekea kuvunja ziara yake ya nchini marekani ambayo alitarajia kuifanya hivi karibuni. Wiki hii amekuwa akisumbuliwa na maumivu ya viungo kitu kilichofanya kushindwa kufanya ziara hiyo baada ya kufanyiwa uchunguzi na daktari wake.
Hichi ndicho alichokiandaka katika TWITTER WALL yake.