BAADA YA KUSHINDA KOMBE LA MATAIFA YA AFRICA RAISI WA NIGERIA AWATUNUKU MAMILION YA PESA NA VIWANJA MAKOCHA NA WACHEZAJI WA TIMU YA NIGERIA

By    
The Super Eagles


Siku ya jana baada ya kushinda kombe la mataifa ya Africa, raisi wa Nigeria Jonathan afanya sherehe maalumu ya kuwapokea wachezaji hao wa Super Eagles zilizofanyika Abuja na kurushwa live na televisheni ya NTA na kuwatunuku mamilioni ya pesa kutokana na ushindi waliojinyakulia katika kombe hilo.
Zawadi walizotunukiwa ni kama ifuatavyo:
Kocha Mkuu Stephen Keshi - Commander of the Order of Niger. N10million. Plot of land in Abuja
Kocha Msaidizi Daniel Amokachi - Officer of the Order of Niger. N5m. Plot of land in Abuja
Kocha Msaidizi Ike Shorumu - Officer of the Order of Niger. N5m. Plot of land in Abuja
Kapteni Joseph Yobo - Officer of the Order of Niger. N5million. Plot of land in Abuja
Wachezaji wote, kila mmoja - Member of the Order of Niger. N5million. Plot of land in Abuja
Kamati ya Ufundi - N2 million 

Mbali na hilo wafanyabiashara maarufu kama Tony Elumelu na Jim Ovia pia wametoa pesa nyingine nyingi kwaajili ya kuisaidia timu hiyo pamoja na wachezaji.


President Goodluck Jonathan Mikel ObiPresident Goodluck JonathanThe Super Eagles (2)