Sugu akiwa ndani ya EATV katika kipindi cha Friday Night Live
amemshukia roma na kumuonya kuwa awe mwangalifu na anachokiandika sio
kukurupuka na kuandika vitu asivyokuwa na uhakika navyo.
Katika wimbo huo kuna kipande kinasema "Pesa ndio imemaliza bifu ya Ruge na Sugu"
Sugu alienda mbali zaidi na kusema madogo wanaokuja juu kimuziki
hawamuwezi na ndio maana kawatafutia wa level zao ambaye ni mwanaye
Sasha.