Siku ya tarehe sita mwezi oktoba Malkia wa Bongofleva Lady Jaydee aliandika ujumbe kuwaalika mashibi kumuuliza maswali mbalimbali, ujumbe uliosomeka hivi;
"Kesho tuna zungumza live Facebook Ile ya kuonana Uje uulize maswali yako ila yawe ya msingi Kuhusiana na muziki tu Mengine tunasema " Ya Ngoswe muachie Ngoswe mwenyewe " #SawaNaWao Kuanzia saa 10-11 jioni"
Hizi ni baadhi ya video zinazoonyesha majibu aliyoyatoa kwa mashibiki

Kuiona video yake mpya ya sawa na wao ingia kwenye youtube chanel ya Lady Jaydee au itazame hapa chini