Diamond Platnumz na show za mikoani Nigeria

By    

Baada ya siku chache kupita tangu kuachiwa kwa video yake mpya ya Utanipenda, aanza na show kubwa ya mikoani nchini Nigeria, kitu ambacho inaonyesha Dangote kakifurahia kwa kile alichoposti kupitia ukurasa wake wa facebook "OWERI / NIGERIA can't wait to see you guys on the 28th of Dec 2015.... Damn! It's Gonna be HOT!!!! Wadau kijana wenu sasa nishaanza kupata show hadi za Mikoani nchini Nigeria, Hakika Mziki wetu sasa Umefikia pazuri..."