Diomond Platnumz akiwa na mpenzi wake Wema Sepetu kwenye Red Carpet Golden Jubilee kwenye sherehe ya siku yake ya kuzaliwa Oct 2, 2014.
Mahaba Niuwe: Wema Sepetu akimpeti peti Diamond wakiwa ndani ya mjengo wa Golden Jubilee kusherehekea siku ya kuzaliwa ya Diaomond Platnumz

Picha credit: Edwintza255, WCB_wasafi and officialjestinageorgeblog