LADY JAYDEE AVUTA MKOKO MPYA AINA YA RANGE ROVER("THIS IS MY NEW RIDE" JIDE WROTE ON FACEBOOK)

By    
Siku ya jana the Best Female Artist in Tanzania Lady Jaydee alipost picha yake akiwa nyuma ya gari kali aina ya Range Rover ambayo aliipa caption ya "This is my new Ride" akimaanisha ni mkoo wake mpya.
Hongera sana Annaconda, we appreciate you sister Jide, we are proud of you.
See it below