Nmetumiwa hii kwenye E-mail yangu, Nawashauri wasanii wengine pia muwe na juhudi ya kutuma nyimbo zenu kwa Bloggers ili ziweze kuwafikia watu wengi zaidi duniani.
Naomba sana sapoti yenu katika kupublish huu wimbo katika Blogs na
Website zenu, ili tuweze kuwafikishia ujumbe husika Watanzania, wana
Afrika na dunia kwa ujumla.Huu wimbo ni bonus track katika album yangu
mpya ya ATHMA((AZMA)) ATTACK itakayotoka mapema january 2014.
Hakika mchango wenu ni muhimu sana katika kufanikisha lengo
langu kwa hadhira niliyoikusudia,niaamini huu ni wimbo wa ukombozi,
nazungumzia UKOMBOZI WA KIFIKRA,naomba tushirikiane katika kuikomboa na
kuijenga jamii yetu.
Mimi nimemaliza yangu, naomba nanyi mfanye yenu.
NB
WIMBO : MUNGU INUSURU TANZANIA
MSANII:AZMA FEAT JK NYERERE
MTAYARISHAJI WA AUDIO: DEEY CLASSIC (REVOLUTIONARY SOUND)
MTAYARISHAJI WA VIDEO: BobRay ( KINYE MEDIA)
phone: +25571273888
email: azmamponda@gmail.com
twitter :@azmamponda
fb page: AZMA HIP HOP (UMABE).