HUU NDIO UJIO MPYA KUTOKA KWA JOH MAKINI "NI PENZI" AMBAO ANATARAJIA KUACHIA SOON

By    

Baada ya raia kuonekana kupokea vizuri ngoma ya Nikumbatie ambayo ammshirikisha Producer Fundi Samweli.
 Sasa rapper Joh Makini yuko mbioni kuachia ngoma yake nyingine mpya inayokwenda kwa jina la Ni Penzi ambayo ambayo amemshirikisha msanii wa kizazi kipya maarufu kama Damian.