SUALA LA MAVAZI KWA WASANII WA KITANZANIA KUANZA KUCHUKUHUKULIWA KWA MTAZAMO TOFAUTI NA WAZAZI WA WASANII HAO

By    

Hivi karibuni wazazi wa msanii wa muziki wa kizazi kipya Tanzania Estelina Sanga ‘Linah’, walionesha kukerwa na mavazi ambayo mwanao huvaa akiwa jukwaani kwenye matamasha ya muziki au mtaani. Wamedai mavazi hayo yanamdharirisha na yeye na familia pia.
Tazama picha za Linah akiwa jukwaani halafu toa maoni.