Siku ya jana mtandao mkubwa Duniani kwa jina la MSN uliweza kutangaza majina mawili ya wasanii wa Tanzania kama ndio bora zaidi kwa kuwapa vyeocha
King na Queen of Bongo flava.Wasanii hao waliotajwa na kupewa vyeo ni
mtu mzima Diamond Platinum wa wasafi na mwanadada Lady J Dee baada ya
kupata taarifa hii kutoka katika mtandao mkubwa duniani unaojulikana kwa
jina la MSN sasa bhana Diamond akaamua kuandika ujumbe katika site yake
baada ya kutajwa katika mtandano huo
"Honestly nmejiskia furaha sana kuandikwa katika mtandao mkubwa kama huu, juu ya kazi yangu ya muziki ninayoifanya na kupewa heshima ya kuwa King of Bongo Flava. Hii inaonesha ni
jinsi gani muziki wetu umepiga hatua na unazidi kuvuka boda"
Huu ndiyo
ujumbe uliyoandikwa na mtu mzima Platinum baada ya kutaja katika
mtandano mkubwa Duniani unaojulikana kwa jina la MSN.
Na huyu ndiye Judith Wambura maarufu kama Ja Dee
Na huyu ndiye Judith Wambura maarufu kama Ja Dee