USAI BOLT AWEKA HISTORIA KATIKA MASHINDANO YA MBIO MITA 100

By    
Katika michuano ya OLIMPIKI ambayyo inaendelea jijini LONDON UINGEREZA , mkimbiaji wa mbio fupi kutoka JAMAICA Usain Bolt atamba kwa kuendelea kuweka historia nyingine hapo jana kwa kuvunja rekodi yake aliyoiweka miaka minne iliyopita jijini BEIJING CHINA.
BOLT amefanikiwa kushinda medali ya dhahabu katika fainali ya mbio za mita 100 akitumia muda wa sekunde 9 nukta 63 huku medali ya fedha ikienda kwa Mjamaica YOHAN BLAKE na MMAREKANI JUSTIN GATLING akinyakua medali ya shaba