Hongera sana Tatiana, Miss Njombe 2016/17

By    
Kama ni mfuatiliaji wa mambo ya ilimbwende basi utakuwa unatambua mambo ambayo yamekuwa yakiendelea kwa wiki za hivi karibuni. Basi kwa nyanda za juu kusini Mkoani Njombe siku ya jana wamefikia tamati kwa kumpata mlimbwende wao Miss Njombe Tatiana De Pretty kama yeye anavyopenda kujiita. "...ushndani ulikua n mkubwa pia mgumu coz wote walikua wanaweza bt majaji ndo waliona uwezo Wang..." Best Hope Media tunapenda kumpa hongera sana kwa kulitwaa taji hilo na Mungu amsaidie asonge mbele zaidi katika mataji makubwa zaidi.