Humblesmith ft Flavour N’ababia - Jukwese (Official Video)

By    


Baada ya wimbo wake kuongoza na kukamata chati ya wimbo unaochezwa zaidi katika vituo vya redio na TV Lagos, Nigeria msanii Humblesmith aliye chini ya lebo ya N-tyze Entertainment amekuja na video mpya "Jukwese" aliyomshirikisha Flavour N’ababia iliyofanyika na Dairekta Clarence Peters.