New video; Diamond Platnumz - Utanipenda (Video & Mp3)

By    

Mwanamziki Dimond Platnumz ambaye ni kioo cha Watanzania Afrika na duniani kote; katika video yake mpya ya UTANIPENDA kaelezea maisha yake halisi ya jana, leo na baadae pamoja na ushirikiano anaoupata kwa mashabiki wake; Usikae mbali sogea itazame hapa