Msanii Eddy Kenzo apata dili kubwa huko Afrika Kusini

By    
Staa wa muziki wa nchini Uganda, Eddy Kenzo ameendelea kupata mashavu kupitia rekodi yake ya “Sitya Loss” kimataifa, baada ya watayarishaji wa filamu kubwa huko Afrika Kusini kuwasiliana naye wakitaka kutumia rekodi hiyo katika filamu yao.