Imesubiriwa kwa shauku iliyoje, mengi yamesemwa lakini imefikia hatua ya mitandao mingi kufanya tukio hili kuwa habari iliyofika kwenye madawati yao hivi punde.
Kwa post hii ya Diamond kwenye ukurasa wake wa Twitter na Instagram dakika chache zilizopita ni dhahiri kuwa familia ya Wasafi imepata ongezeko la mtoto wa kike.
Jina la mtoto huyo ni Latifa ingawa bado hospitali alipojifungulia Zari haijawekwa wazi.